Mychoco

TZS 44,940
Description

. mychoco ni chocolate iliyosagwa katika unga laini wa cocoa ili kumsaidia mtumiaji kuutumia kwa urahisi zaidi hata kwa kulamba na kuongezewa virutubisho pekee vyenye manufaa kwa afya ya mwili. mychoco inaweza kuongezewa maji ya moto, baridi au maziwa na kubaki na radha yake ileile ya chokoleti huku ikiukinga mwili wako na mashambulizi ya magonjwa. faida za kirutubisho cha mychoco 1.inaongeza hamu ya kula. 2.inaimarisha mfumo wa kinga ya mwili. 3.inakinga na kutibu kubanwa kifua. 4.nzuri kwa wale wenye matatizo ya kuishiwa damu. 5.kuimarisha ukuaji na utendaji kazi wa ubongo. 6.inapambana na ugonjwa wa kusahau.kusaidia ubongo kuongeza umakini. 7.inaondoa sumu mwilini. inasaidia kuondoa maumivu ya kichwa. 8.inasaidia katika kuboresha mfumo wa mzunguko wa damu. kwa maelezo zaidi au kuweka order yako wasiliana nasi kupitia.

  • Weight: 1kg
Vendor
Fatuma mussa.
Product Condition
New
Delivery time
0-0 days
Availability
Out of Stock
Color
Contact vendor

Related Products