Choleduz

TZS 74,900
Description

Choleduz omega supreme ni chakuala lishe chenye virutubisho chenye mjumuisho wa mafuta ya samaki pamoja na vitamini e ambayo ni muhimu kupunguza mrundikano wa mafuta mabaya mwilini yaani body's bad cholesterol. mafuta haya yanajumuisha omega-3, fatty acid, epa na dha faida za choleduz 1. husaidia kuondoa mafuta machafu mwilini 2. husaidia kukinga na kutibu matatizo ya pressure na moyo. 3. usaidia kutibu matatizo ya macho 5. hutibu matatizo ya ngozi 6. husaidia kutibu matatizo ya pumu 7. husaidia kuondoa ganzi mwilini kuipata tafadhali wasiliana nasi.

  • Weight: Below 0.5kg
Vendor
Fatuma mussa.
Product Condition
New
Delivery time
0-0 days
Availability
Out of Stock
Color
Contact vendor

Related Products