EXTRA STRONG PEELING OIL

TZS 45,796
Description

EXTRA STRONG PEELING OIL Tsh 40,000 ????Hii unaweza kutumia hadi usoni ????Inaondoa discoloration kwa kubandua ngozi yenye discoloration ????inafanya kazi kwa kuondoa gamba la juu la ngozi lenye seli zilizokufa ( epidermal layer) ????Unaitumia kwa siku 3 tu ..baada ya hapo unaiacha ifanye kazi ????Inaondoa matatizo ya ngozi kwa haraka Sana ????Uhaipaka popote penye tatizo hata kama hamna tatizo ????Mfano unamadoa miguuni ukiipaka sehem yenye madoa ngoz inabanduka panabaki smooth ndan ya wiki au wiki mbili tu unasahau kam ulikua na madoa ????kuna wale cream zinagoma kufanya kazi hii inafanya exfoliation kwa ndani zaidi..inaondoa gamba la juu la ngozi lililojaa seli zilizokufa yani Gamba la juu la ngozi lisilosikia mafuta ????Unaipaka sehem yeyote ya mwili unayotaka kama..kwenye sugu..viwiko.katikati ya mapaja .kwenye makalio...magotini n.k.

  • Weight: Below 0.5kg
Vendor
Faith online shop.
Product Condition
New
Delivery time
0-0 days
Availability
In Stock
Color
Contact vendor

Related Products