Complete Phyto-energizer

TZS 94,695
Description

Complete Phyto-energizer ni kirutubisho lishe chenye mkusanyiko wa vyakula vyenye virutubishi zaidi ya elf kumi na sita Virutubisho vya COMPLETE PHYTO-ENERGIZER hufanya kazi katika "harambee(synergy)" ili kutoa matokeo ya juu zaidi kwa kuimalisha kinga ya mwili wako, na kuifanya kuwa bidhaa yenye nguvu zaidi ya kupambana na kuzeeka katika historia ya vyakula nyongeza. virutubisho vilivyomo ndani ya tembe moja ni:- 29 Vitamins/Minerals/ Trace Minerals 18 Amino Acids 14 Super Green foods/ Spirulina blend 12 Whole Fruit Juice Blend 12 Whole Vegetable Juice Blend 12 Mushrooms 12 Digestive Enzymes 12 Herbs & Specialty Nutrients 10 Essential Fatty Acids Faida utayo pata ukitumia kilasiku tembe moja:- 1-Inatoa sumu mwilini na inakuza mzunguko mzuri wa damu na kuzaliwa upya kwa seli 2-Hulinda moyo, huzuia shida na husaidia kudhibiti shinikizo la damu 3-Huongeza, inawilisha, inaimarisha, na husawazisha mfumo wa kinga 4-Inalinda DNA yako na RNA 5-Inazuia ukuaji wa tumor na husaidia kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu 6-Hufufua ngozi na huongeza nguvu kwa wanaume na mwanawake 7-Inaboresha meno na kudumisha ufizi wenye afya 8-Huongeza na kuhimalisha afya ya uzazi hususani tendo la ndoa wa kijinsia zote. kila mmoja anashauliwa kuimalisha kinga ya mwili kila siku kwa kupata tembe moja kila siku nusu saa kabra ya chai asubuhi na nyingine nusu saa kabra ya chakula ya usiku. tumia Complete Phyto-energizer kuweka salama afya yako, ndio maana sisi afya Mkononi coach tunasema afya yako kiganjani mwako, karibu tukuhudumia.

  • Weight: Below 0.5kg
Vendor
Afya mkononi coach.
Product Condition
New
Delivery time
0-0 days
Availability
In Stock
Color
Contact vendor
Specifications
Basic specs
BrandAlliance In Motion Global Tanzania
ReliabilityAlliance In Motion Global Tanzania
Safetytupo na ofisi mikocheni Dar es salaam Tanzania
Smellbox la tembe 10
Tastetiba lishe test
Designbox ndani lenye tembe 10
Marketing Claims Agingno thelapetical claims
Dimensions
Dimensions10 to 30 capsules
Materials
Materialvirutubisho lishe
Memory100g
Packagingbox
Contentfood supplement content
Ingredients Ingredients: 29 Vitamins/Minerals/ Trace Minerals 18 Amino Acids 14 Super Green foods/ Spirulina blend 12 Whole Fruit Juice Blend 12 Whole Vegetable Juice Blend 12 Mushrooms 12 Digestive Enzymes 12 Herbs & Specialty Nutrients 10 Essential Fatty Acids

Related Products